WEDDING HARUSI

Tanzania

Let  us Bring Your Wedding Day to Life

Tushirikishe Tuifanye Harusi yako ya ukweli na ya kukumbukwa daimaMatenti kwa

Birthday, Vipaimara, Send Off, Graduation na sherehe zingenezo

Wedding

Catering Service

Huduma Za Vyakula na Vinywaji

Entertainment

Music and MC service
Huduma ya Muziki na MC

Wedding Harusi  take your wedding preparations off your shoulders but never out of your hands

  • Kazi yetu ni kuifanya shughuli yako ya maandalizi ya sherehe kuwa rahisi na nafuu zaidi
  • Tunatoa punguzo kama utachukua Mziki na Catering Service kwetu kwa pamoja
  • Dj ni bure ukikodi mziki
  • Tunashirikiana na ma MC maarufu kwahiyo chaguo ni lako   

 

It is ideal that you consult us that we get to know  your style, your stories., your wants and your wishes that we can put  attention in your likes and dislikes in helping  you have The wonderful party of your dreams.

  • Ni vema tukutane tuzungumze na tukuonyeshe ubora wa vifaa na huduma zetu nzuri pia tupate kujua vile unataka sherehe yako iwe ili tuweze kukusaidia vema katika kutimiliza ndoto ya sherehe yako yenye kufana na kuwa na mashamsham.