Testimonials

5


Ubora wa huduma yetu unaboreshwa pia kwa kuwa tunatoa huduma zote za sherehe chakula, mziki na Matenti kwa hiyo unapata punguzo kubwa sana.

1

Hapa Kazi tu, Huduma bora zenye ubora wa kukidhi haja.

Wedding Harusi Staff

Hii Ndio timu ya ushindi na kwao hakuna kitakachowakwamisha kufanikisha sherehe yako kama mtakavyokubaliana

Hawaishi kuisambazia sherehe yako Raha, burudani na Utamu mpaka kuchwe!

Hakuna ubabaishaji wala usumbufu na tunakojitahidi kudumisha mawasiliano na kuwa karibu saba na bwana na bibi harusi katika kila hatua kuhakikisha tunakidhi mah

Joshua S T.

  • Operation Manager na Msimamizi wa maandalizi yote mpaka kufanikiwa kwa sherehe yako amejaliwa tabasamu, na busara na ni hodari katika kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa.
  • Haishi kuwakonga nyoyo pia kwa kuwarusha kwa miziki kwa kutumia vifaa vya kisasa na technolojia ya juu kabisa                


Matilda S. T.
  • Mhasibu wetu huyu ni msomi aliyefuzu stashahada ya juu kabisa ya elimu ya chuo kikuu na ufisadi na rushwa mwiko kwake, anampenda Mungu na atasababisha raha buruduni katika sherehe yako.
  • Atahakikisha anakupatia bei nzuri, anafanikisha uwepo wa kila kila kitu kama mlivyokubaliana na kuifanya sherehe yako kuwa nzuri


Highlights

Vifaa vyetu ni vyenye ubora mkubwa kabisa, chakula kinapikwa katika jiko lenye standard nzuri na wapishi makini waliobobea

4

2


Wedding Harusi Tanzania ni mradi wa familia unaotoa huduma za upishi na usambazaji wa vyakula, Burudani ya Muziki na Matenti kwenye sherehe za Harusi, Birthday, Vipaimara, Send off, mikutano na kwenye misiba.


Pia tunaweza kukusaidia

  • Kupata vifaa vya harusi toka nje ya nchi kama nguo za bibi na bwana harusi na mapambo toka nje ya nchi.
  • Kupata Gari nzuri kwa ajili ya kuifanya siku yako ya kipekee.

HAPPILY EVER AFTER

Mama D

  • Manager na Msimamizi mkuu wa shughuli zote toka maandalizi mpaka ufanikishaji wa sherehe.
  • Anauzoefu wa kupika vyakula vya kila aina, na amejaliwa busara na hekima katika kila alikifanyacho na kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa na kuwa na jiko professional atahakikisha mnakula mnasaza na sherehe kuwa murua kabisa.

Who we are

Huduma na bei zetu ni nafuu kabisa hatuna mpinzani na hatushindwi kushirikiana nawe kwa bajeti yoyote uliyonayo.

3