Tupo Jijini Dar es Salaam na Huduma zetu ni kwa maeneo yote ya Dar es Salaam na miji izungukayo

Tunachukua booking kabla ya siku ya sherehe..

ili kutokosa huduma yetu nzuri... ni vema kuwasiliana nasi mapema.

Kuuliza bei na kujua ubora wa huduma zetu ni bure kabisa hatuchaji chochote kwahiyo usiogope kuwasiliana nasi.

Asante.

Kwa Maelezo Zaidi  Wasiliana nasi kwa barua

P.O.Box 76990 Dar es Salaam Tanzania.

Simu:  0718502150 au 0768824672

            Pia 0687538313

whatsup: 0687538313


E-mail:  
twevefamily@yahoo.com

How to find us

Enquiry

Tutafurahi sana kusikia chochote toka kwako 

 Kwa Swali, Ushauri, Wazo au Kutaka kujua zaidi juu ya huduma zetu usisite kutuandikia kwa kujaza form ifuatayo.